Matthew 9:37-38

37 aNdipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache. 38 bKwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.”
Copyright information for SwhKC